0 Comment
Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana Zanzibar Ali Haji Hassan amesema kupatiwa Vijana elimu ya afya ya uzazi na udhalilishaji kuna jenga uelewa juu ya kufahamu njia sahihi za kutatua changamoto zinazowakabili. Ameyasema hayo wakati alipokuwa akifunguwa mafunzo ya Afya ya Uzazi, Udhalilishaji pamoja na Sera ya Maendeleo ya Vijana kwa Viongozi wa Mabaraza ya... Read More











