0 Comment
Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imendaa tukio la 23 la Kili Challenge, kampeni mashuhuri ya uchangishaji fedha inayolenga kuunga mkono juhudi za kitaifa za kupambana na VVU na UKIMWI. Kilele cha uzinduzi kinatarajiwa kufanyika tarehe 18 Julai 2025, huku mapokezi ya... Read More