0 Comment
Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA, Prof. Sylivia Temu akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkutubi Mwandamizi wa Kitengo cha Maktaba Wizara ya Fedha, Bw. Fredy Mpoma, kuhusu Mfumo wa Hazina Machapisho wenye taarifa za uchumi tangu kupata uhuru alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea... Read More