0 Comment
Wananchi mkoani Manyara wameaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwakuwa hiyo ni haki yao kisheria. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bi. Giveness Aswile wakati akizungumza katika Kipindi cha Tubonge kinachorushwa na Smile FM... Read More