0 Comment
Hakimu wa mahakama nchini Marekani amemnyima dhamana mshukiwa wa mauaji ya Tupac Shakur mwaka 1996 huko Los Angeles. Kiongozi wa zamani wa genge la Los Angeles anayeugua hivi sasa, Duane “Keffe D” Davis, ndiye mtu pekee aliyewahi kushtakiwa kuhusiana na ufyatuaji risasi uliogharimu maisha ya nyota huyo wa hip-hop. Kiongozi huyo wa zamani wa genge... Read More