0 Comment
Kagera Miradi 8 ya barabara za lami zenye urefu wa KM. 5.2 yenye thamani ya shilingi bilioni 2.5 zimepitiwa na mbio za Mwenge wa Uhuru katika halmashauri 8 mkoani Kagera. Meneja wa TARURA Mkoa wa Kagera Mhandisi Wilson Charles amesema kuwa barabara za lami zilizopitiwa na mwenge wa uhuru ni miongoni mwa kilometa 8 zilizokamilika... Read More