0 Comment
Tarehe 28 Septemba 2024, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na Wanadiaspora na wanachama wa CCM nchini Uingereza. Lengo la kukutana lilikuwa kuimarisha uhusiano baina ya Wanadiaspora, Chama Cha Mapinduzi na serikali, pia kuwapa taarifa kuhusiana na shughuli na kazi zinazoendelea kufanywa... Read More