0 Comment
Na. Vero Ignatus Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani amefungua Kikao kazi cha pili cha Wenyeviti wa Bodi ya Watendaji wakuu wa, Taasisi za Umma 2024 ambapo amesema suala la mageuzi ni agenda ngumu lakini mabadiliko yanapokuwepo maendeleo yanatokea uli kulinda rasilimali za wananchi na kutimiza lengo la kuanzishwa kwake... Read More