0 Comment
NA WILLIUM PAUL, SAME. SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kukabiliana na majanga ya Moto yanapotokea. Hayo yamebainishwa na Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Goodluck Zelote, ambaye pia ni Mkuu... Read More