0 Comment
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua rasmi utalii wa puto ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa Ruaha. Uzinduzi huo umefanyika leo Oktoba 7,2024 katika eneo la Korongo View ndani ya Hifadhi ya Taifa Ruaha Mkoani Iringa. Akizungumza katika hifadhi ya Taifa Ruaha Waziri wa Maliasili... Read More








