0 Comment
Kiongozi(AMIRI)wa Mtandao wa Vyuo vya Kur-ani Zanzibar(MVUQUZA)Fakih Ali Juma akitoa maelezo kuhusiana na Mtandao wao huo katika hafla ya Mafunzo ya Walimu wa Vyuo vya Qur-ani yaliofanyika Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja. Baadhi ya Walimu wa Vyuo vya Qur-ani waliohudhuria katika Hafla ya Mafunzo ya Walimu wa Vyuo vya Qur-ani yaliofanyika Mahonda Wilaya ya... Read More











