0 Comment
Mwanamume mmoja wa Japan ambaye alikaa Jela karibu nusu karne akitumikia hukumu ya kifo amegundulika kuwa hana hatia ya mauaji, Mamlaka za kisheria Nchini humo zimethibitisha. Anaitwa Iwao Hakamada, 88, alihukumiwa kunyongwa mwaka 1968 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Bosi wake, Mke wake na Watoto wake wawili na kuchoma moto nyumba ya Familia... Read More