0 Comment
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk leo tarehe 04 Oktoba, 2024 ametembelea na kuzungumza na washiriki wa mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki katika Wilaya ya Wete na Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba yanayofanyika kwa siku mbili. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa... Read More











