0 Comment
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma – Idara ya Kinga Wizara ya Afya Dkt. Ona Machangu akizungumza jambo wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa Mpox na Marburg iliyofanyika leo Oktoba 4, 2024 katika Ukumbi wa CTC , Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam... Read More











