0 Comment
Waziri wa elimu Sayansi na Teknolojia nchini Prof.Aldof Mkenda amezindua nyumba ya mwalimu shule sekondari Lubonde wilayani Ludewa mkoani Njombe ambayo imegharimu zaidi ya mil 97 katika ujenzi wake. Wakati akizindua Prof Mkenda amesema serikali ya mama Samia imedhamiria kufanya mageuzi katika sekta ya elimu kwa kujenga na kuboresha miundombinu kote nchini na kisha kuondoka... Read More











