0 Comment
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU),Prof. Charles Kihampa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Oktoba 4,2024 jijini Dodoma kuhusu kuongeza muda wa udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika programu ambazo bado zina nafasi kwa mwaka wa masomo 2024/2025 unaotarajia kuanza kesho Oktoba tano hadi Oktoba tisa mwaka huu.... Read More







