0 Comment
Serikali imezindua mradi wa kusambaza umeme wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 19 kwa ajili ya vitongoji 135 katika mkoa wa Mwanza. Mradi huo unasimamiwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ambapo Mhandisi Ernest Makale, amesisitiza umuhimu wa kufikisha nishati hiyo kwa wananchi wanaoishi maeneo ambayo hayajafikiwa. Hatua hii ni sehemu ya mpango mpana... Read More