0 Comment
Na Mwandishi Wetu Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) wilayani Bariadi imejenga Daraja la Mwadobana lenye urefu wa mita 36 na upana mita 9.9 ambalo litachochea ukuaji wa uchumi wilayani humo. Kaimu Meneja wa TARURA wa Wilaya ya Bariadi, Mhandisi Khalid Mang’ola amesema hayo wakati wa mahojiano kuhusu miradi iliyotekelezwa na TARURA... Read More