0 Comment
Spika wa Bunge la Comoro,Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro.Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini humo. Spika Moustadrione amezungumzia pia uhusiano mzuri uliopo baina ya Marais Azali Assoumani na Samia Suluhu Hassan ambapo ameeleza pia namna Comoro... Read More