0 Comment
“Niseme ukweli Bandari ya Dar es salam ina mabadiliko makubwa sana kwani wakati nikiwa RC nilikuwa nakuja hapa lakini leo nimeshangaa ni utofauti mkubwa na Chama cha Mapinduzi kinaipongeza Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zake kwa Uwekezaji mkubwa bandarini na hapa nimesikia na kujionea juu ya Uwekezaji kuanzia mitambo na Ufanisi wake mkubwa hapa ni... Read More