0 Comment
Dar es Salaam. Airtel Tanzania imewasii wateja wake kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya utapeli wa fedha kwa njia ya simu, tatizo ambalo limekuwa likishika kasi kupitia jumbe na simu za udanganyifu. Matapeli wamekuwa wakituma ujumbe kupitia namba zisizojulikana wakiwataka wateja watume pesa kama michango kwa ajili kupata uponyaji wa kiroho. Kufuatia matukio haya, Airtel Tanzania... Read More