0 Comment
ALIYEKUWA Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA kwa kipindi Cha miaka 10 Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea ‘kukivua nguo’ chama chake Cha zamani kwa kuanika madudu yao hadharani. Mchungaji Peter Msigwa ambaye yuko katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi... Read More