0 Comment
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ametangaza kuanza kwa msimu wa Krismasi mnamo Oktoba 1, mwaka huu, akidai kuwa ni njia ya kuleta furaha na amani kwa taifa. Tangazo hili la kushtukiza, ambalo limewahi kutolewa mapema zaidi kuliko miaka iliyopita, linakuja wakati ambapo nchi hiyo inakabiliana na mgogoro mkubwa wa kisiasa na ukandamizaji wa upinzani. Katika... Read More