0 Comment
Na WMJJWM- Karatu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amewahimiza wananchi wilayani Karatu mkoani Arusha kuchangamkia fursa ya Mikopo inayotolewa na Benki ya NMB ili kukuza biashara zao. Dkt Jingu ametoa wito huo leo 22 Julai 2025 wakati akihutubia mkutano wa kuwafahamisha fursa zinazotolewa na... Read More