0 Comment
Washiriki zaidi ya 100 wa Jukwaa la Pili la Utalii wa Vyakula kutoka nchi mbalimbali wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Nkoba Mabula jana Aprili 25, 2015 wamefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha kujionea vivutio vya utalii ambavyo vinapatikana ndani ya hifadhi hiyo. Washiriki hao walipokelewa na Naibu... Read More