0 Comment
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga (kushoto), akizinduzi wa Mtandao wa Kitaifa wa Watu Wenye Ulemavu katika maeneo ya kazi (NBDN) uzinduzi huo umeandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sightsavers International. Hafla hiyo imefanyika leo Machi 11,2025 jijini Dar Es Salaam. Mkurugenzi... Read More