0 Comment
Benki ya Exim Tanzania imezindua rasmi huduma yake mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo linarahisisha miamala kwa biashara na watu binafsi. Njia hii ya malipo maarufu kama “Maliza Kirahisi na Lipa ChapChap’ inayowafaa wafanyabiashara, ambayo ni salama na yenye ufanisi, inaimarisha dhamira ya Benki ya Exim kwa uboreshaji wa... Read More