0 Comment
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuulinda na kuudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa nguvu zao zote, akisisitiza kuwa ni tunu ya kipekee inayopaswa kuenziwa kwa vitendo, umoja na mshikamano wa kitaifa. Akihutubia taifa kuelekea maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano, Rais Samia amesema mwaka... Read More