0 Comment
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amesema kuwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeshiriki kikamilifu katika kutoa maoni katika utengenezaji na uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 ili kuhakikisha kuwa Dira hiyo inaakisi masuala yote ya Sekta ya Sheria. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amezungumza hayo katika mahojiano maalumu na Vyombo vya... Read More