0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Pwani Machi 11, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, asisitiza Viongozi na Watendaji wa Halmashauri Kuzingatia Misingi ya Haki, Kanuni, na Sheria za Utawala Bora ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi Rai hiyo aliitoa wakati akifungua mafunzo ya siku moja kuhusu Elimu ya Uraia, Utawala Bora, na Haki... Read More