0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Mafia Mei 17,2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, ametoa rai kwa wananchi wote wenye sifa ya kupiga kura ambao hawakuboresha taarifa zao katika awamu ya kwanza ya zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza kwa wingi katika awamu ya pili ili kupata... Read More