0 Comment
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Nicole Providoli, jijini Dar es Salaam ambaye alifika kujitambulisha. Katika kikao hicho, Mhe. Kikwete amesema kuwa serikali inatambua mchango mkubwa wa Serikali ya Uswisi kupitia shirika la Swiss Aid kwa... Read More