0 Comment
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ndg.Kaspar Mmuya amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao kwa kufanya maamuzi ya haraka ya kumgharamia Mwanafunzi aliyekuwa anasumbuliwa na uvimbe katika mkono. Ras Mmuya ameeleza kuwa Kondoa Dc imepata Mkurugenzi bora kwani kitendo cha yeye kutoa fedha zake mfukoni na kugharamia matibabu hili ni... Read More