0 Comment
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina dhamira ya kujenga Tanzania jumuishi, yenye ustawi na haki na kupinga ubaguzi kwa sababu zozote zile, ziwe za kidini, kikanda, kiitikadi au jinsia. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Sharifa B. Nyanga imesema Rais Dkt. Samia ameyasema... Read More