0 Comment
Baadhi ya watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha, wakiwa katika maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa kitaifa Jijini Arusha, yenye kaulimbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’. …… Wizara ya Fedha imeungana na Watanzania wengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, iliyofanyika kitaifa Jijini... Read More