0 Comment
Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wameungana na wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika leo Machi 8, 2025, katika Viwanja vya Leaders Club. Huku Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila ametoa pongezi kwa wanawake kwa mchango... Read More