0 Comment
Baadhi ya watumishi wanawake wa Chama cha Mawakili wa Serikali, wakiwa katika maandamano wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa jijini Dodoma Kimkoa yenye kaulimbiu ya ‘’Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji’’. ….. CHAMA cha Mawakili wa Serikali Wanawake,wameungana na Watanzania wengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake... Read More