0 Comment
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akizungumza wakati wa Kikao kazi cha Uchambuzi wa Bajeti na Mipango kwa Mwaka 2025/26, kikao hicho kilishirikisha Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri pamoja na maafisa bajeti wa mikoa husika, katika Ukumbi wa Kambarage, Jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa... Read More