0 Comment
Mkurugenzi wa Taasisi ya Miriam Odemba Foundation (MOF) ambaye pia ni mwanamitindo nguli wa kimataifa, Miriam Odemba amesisitiza Watanzania kuchangia fedha kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa vyoo na baadhi ya miundombinu katika Shule ya Misingi Mwendapole iliyopo Kibaha mkoani Pwani. Hatua hiyo ni juhudi za taasisi hiyo katika kuiunga mkono serikali kuhakikisha wanafunzi... Read More