0 Comment
Na John Bukuku, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb), ametembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana (DIB) katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) na kupata maelezo kuhusu majukumu ya taasisi hiyo katika kulinda amana za wananchi. Katika ziara hiyo aliyoifanya... Read More