0 Comment
Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Bi. Latifa Khamis, akiongozwa na Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bw. Ramadhan Kissimba, kutembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufani... Read More