0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Pwani Mei 1,2025 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuwa kielelezo cha uongozi bora kwa vitendo, akionyesha njia ya utendaji kazi wenye weledi, jambo ambalo linapaswa kuigwa na watumishi wengine wa umma. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei... Read More