0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, PWANI HIFADHI ya Mazingira Asilia ya Uluguru kutoka mkoani Morogoro imefanya ziara ya mafunzo katika Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Pugu Kazimzumbwi, kwa lengo la kuwajengea uwezo wadau wa utalii kutoka mkoa huo, sambamba na kuimarisha ushirikiano katika uhifadhi wa mazingira na kukuza utalii wa ikolojia. Mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji... Read More