0 Comment
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) inashiriki kikamilifu katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo Julai 2, 2025 kwenye Maonesho hayo, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano TET, Jamila Mbarouk amesema ushiriki wao... Read More