Na Silivia Amandius Bukoba, Kagera. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandika historia mpya katika Tarafa ya Katerero, mkoani Kagera, kwa kukamilisha ujenzi wa bweni la kisasa kwa ajili ya watoto wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Lyamahoro A, iliyopo Kata ya Nyakibimbili. Mradi huu unaogharimu shilingi milioni 128,... Read More
Naitwa Ally kutokea Mombasa, niko hapa kusimulia kwa uwazi masaibu yangu ya hivi majuzi na jinsi nilivyofanikiwa kuyashinda baada ya kunaswa katika mtandao mmoja wa kitapeli ambao ni hatari sana. Nilikuja kugundua kuwa mtandao huu unaratibiwa na si mwingine bali mmoja wa Wabunge maarufu kutoka………. SOMA ZAIDI
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akifunga Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) leo tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar. Washiriki wakifuatilia Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) leo tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar. Mwenyekiti wa... Read More
JOPO la majaji waliobobea kwenye tasnia ya habari limeanza rasmi kuchambua kazi za waandishi wa habari wanaowania Tuzo za Uwiano wa Kijinsia kwa mwaka 2025, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usawa wa kijinsia kupitia vyombo vya habari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Chama Cha Waandishi wa habari Wanawake TAMWA Zanzibar kimesema... Read More
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff ametoa wito kwa wananchi na wafanyakazi wote kushiriki kikamilifu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yatakayofanyika tarehe 1 Mei 2025 kisiwani Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho hayo, Waziri Shariff alieleza kuwa siku hiyo ni... Read More
“Kuongeza au kupunguza kutoka katika Kitabu cha Ufunuo ina maana huwezi kuingia mbinguni (Ufu 22:18-19)” *** Kuna kanisa ambalo hufanya Mtihani wa Biblia kila Wiki na washiriki wote wanajua Kitabu cha Ufunuo. Sasa Hivi Kanisa la Shincheonji la Yesu, Hekalu la Hema la Ushuhuda(Hukumbi wa Makao makuu )Mwenyekiti Man -hee Lee, ambaye baadaye anajulikana... Read More
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la taasisi za umma katika Maonyesho ya Kwanza ya Mfuko wa Utamaduni yaliyofanyika kuanzia tarehe 24 hadi 30 Aprili, 2025 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. TEA ilikuwa miongoni mwa taasisi zaidi ya 30 zilizoshiriki katika maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Mfuko wa... Read More
Na Sophia Kingimali. MKUU wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta – Furahika, Dkt David Msuya ametoa wito kwa waajiriwa wa Serikali na binafsi kujiunga na chuo hicho kwa ajili ya masomo ya jioni yanayoanza Mei 5, mwaka huu huku wakianzisha kozi mpya ya biashara. Amesema masomo hayo yatawasaidia wafanyakazi hao kuendana na mahitaji ya soko... Read More
Serikali, itaendelea kuimarisha maendeleo katika ya habari, vijana, utamaduni na michezo ili iweze kufanya kazi zake kwa ufanisi. Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Tabia Maulid Mwita, amesema hayo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi huko Rahaleo... Read More