0 Comment
WAZIRI wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde,akizungumza leo Aprili 30, 2025 jijini Dodoma kwenye ufunguzi wa kikao cha Menejimenti ya Tume ya Madini. …… WAZIRI wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde (MB) ametoa maelekezo matano kwa Menejimenti ya Tume ya Madini hasa Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuzingatia na kusimamia sheria katika utekelezaji wa majukumu yao na... Read More