0 Comment
TUZO ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika imetangaza washindi wa miswada ya mashindano ya mwaka 2024 katika hafla ya kufana iliyofanyika katika Chuo Kikuu Dar es Salaam huku watanzania wakiibuka kidedea katika mashindano hayo ya tisa tangu kuanzishwa kwake 2015. Tuzo hii, iliyoanzishwa na Dkt. Lizzy Attree na Dkt. Mukoma Wa Ngugi... Read More