0 Comment
Dar es Salaam Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeanza kutekeleza ujenzi wa barabara Km 42 kwa kiwango cha lami kupitia mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Wilaya ya Kigamboni,... Read More