0 Comment
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Leonce Marto amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea udiwani kata ya Nduli manispaa ya Iringa. Marto ambaye alijiunga na chama hicho akitokea Chama cha demokrasi na maendeleo (chadema) ambako alihudumu kwa muda mrefu na kushika nyadhifa mbalimbali. Kuelekea uchaguzi huu Marto anakoleza joto la uchaguzi na ushindani mkubwa... Read More