0 Comment
NA DENIS MLOWE IRINGA MWENYEKITI Mstaafu wa Ccm Wilaya ya Kilolo 2017-2022 Kilian Edson Myenzi ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kilolo huku akiweka vipaumbele mbalimbali endapo atachaguliwa na Chama cha Mapinduzi atakwenda kuwasemea. Akiongea na waandishi wa habari kabla ya kuchukua fomu amesema pamoja na kazi kubwa iliyofanywa na Serikali ya awamu ya... Read More